http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Picha: Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa Wizi Wa Pikipiki

Wananchi waliojichukulia sheria mkononi jana wamewaua kwa kuwachoma moto watu watatu ambao majina yao bado hayajafahamika katika kijiji ...


Wananchi waliojichukulia sheria mkononi jana wamewaua kwa kuwachoma moto watu watatu ambao majina yao bado hayajafahamika katika kijiji cha Kitwana kata ya Busoka wilayani Kahama,mkoani Shinyanga kwa tuhuma za wizi wa pikipiki.


Kwa mujibu wa mashuhuda, mauaji ya mtu wa kwanza yalifanywa majira ya saa nane usiku wa kuamkia jana baada ya kutokea wizi wa pikipiki, huku watu wengine wawili wakiuawa jana majira ya saa nne asubuhi.


Inaelezwa kuwa mtuhumiwa wa kwanza alipokamatwa aliwataja wenzake wawili waliouawa jana baada ya kuvunja nyumba ya mmoja wao na kukuta pikipiki tatu zimehifadhiwa kwenye shimo.


Afisa mtendaji wa mtaa wa Kitwana, Peter Joseph amekiri kutokea kwa tukio hilo huku akilaani vikali kitendo cha wananchi kujichulia sheria mkononi, na kuwataka kuacha tabia hiyo kwani ni kinyume cha sheria.


Miili ya marehemu hao ilichukuliwa na Jeshi la polisi wilaya ya Kahama, na kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama

Mkuu wa polisi wilaya ya kahama Mussa Mchenya mwenye kofia nyeusi akiwa eneo la tukio akishuhudia eneo ambalo watuhumiwa hao wamechomewa moto.

Wananchi wakiwa katika makazi ya mtuhumiwa aliyechomwa moto wakishuhudia nyumba ikiteketea.

Shimo ambalo mtuhumiwa inadaiwa alificha pikipiki tatu ndani yake.

Wananchi wakiendelea kubomoa nyumba ya mtuhumiwa

Maafisa wa polisi wakiwa wameifikisha miili ya watuhumiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya ya Kahama.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Picha: Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa Wizi Wa Pikipiki
Picha: Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa Wizi Wa Pikipiki
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdCtGrqFSXF6-YyclOW_6ljMBvgmrueILVSH-kYjO1hP_sls8gzSSLffYPC3ng_Dbgk6zK0Z5Zxj63VpV0t1PKUfGoMSO_VrHF48syLJ7vigVVLJeny53CxmxYrLbquXNmxUH3BYTwbQ8C/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdCtGrqFSXF6-YyclOW_6ljMBvgmrueILVSH-kYjO1hP_sls8gzSSLffYPC3ng_Dbgk6zK0Z5Zxj63VpV0t1PKUfGoMSO_VrHF48syLJ7vigVVLJeny53CxmxYrLbquXNmxUH3BYTwbQ8C/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/picha-watu-watatu-wauawa-kwa-kuchomwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/picha-watu-watatu-wauawa-kwa-kuchomwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy