http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Kambi iliyokuwa ikihifadhi na kutumikisha watoto yateketezwa kwa moto Manyara

Kambi iliyokuwa ikihifadhi na kutumikisha watoto kutoka mikoa mbalimbali imeteketezwa kwa moto, pia mmiliki wa kambi hiyo Ustaadhi Saad S...





Kambi iliyokuwa ikihifadhi na kutumikisha watoto kutoka mikoa mbalimbali imeteketezwa kwa moto, pia mmiliki wa kambi hiyo Ustaadhi Saad Suleymani amekamatwa akituhumiwa kulaghai na kutumikisha watoto.

Zoezi hilo limefanywa na Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Hanang Mkoani Manyara, ambapo mmiliki wa kambi hiyo alikuwa akiitumia kulaghai na kuwatumikisha watoto katika shughuli za ufugaji na kilimo katika eneo la pori la kijiji cha Diloda.

Akizungumzia hatua ya kuiteketeza kambi hiyo, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Sarah Ali Msafiri amesema kamati yake imebaini kuwepo kwa kambi hiyo kufuatia kufa maji kwa wanafunzi wawili kwenye rambo la kambi hiyo Machi 3 mwaka huu na kumgundua mmiliki huyo ambaye amekiri kuwatumikisha watoto kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Manyara na Dodoma kwa kutumia mwamvuli wa Madrasatul Al Badil ili kujinufaisha, lakini pia kamati hiyo ikieleza kukosa vielelezo halali vya umilikishwaji wa ekari 63 za eneo hilo vilivyotolewa na Serikali ya kijiji hicho.

Nae Mmiliki wa kambi hiyo Ustaadhi Saad Suleyman akizungumza kabla ya kuangua kilio akishughudia uteketezaji wa kambi yake yenye vibanda 12, amekanusha kuwepo kwa chuo katika eneo hilo na kusema eneo hilo linatumiwa na wanafunzi hao kama eneo la mradi wa madrasa iliyopo katika kijiji cha Riroda kilichopo wilayani Babati, huku BAKWATA wilaya ya Hanang ikisema haikubaliani na ukiukwaji wa haki za watoto.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kambi iliyokuwa ikihifadhi na kutumikisha watoto yateketezwa kwa moto Manyara
Kambi iliyokuwa ikihifadhi na kutumikisha watoto yateketezwa kwa moto Manyara
https://i0.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2017/07/fire_2.jpg?zoom=2&resize=338%2C190
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/kambi-iliyokuwa-ikihifadhi-na.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/kambi-iliyokuwa-ikihifadhi-na.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy