http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Zuma Matatani Tena..

Picha na Reuters Rais Jacob Zuma Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma anachunguzwa tena baada ya kuvuja kwa idadi kubwa ya barua ...






Picha na Reuters Rais Jacob Zuma

Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma anachunguzwa tena baada ya kuvuja kwa idadi kubwa ya barua pepe, zinazodai kugundua mtandao wa rushwa kati yake na familia ya Guptas yenye ushawishi kibiashara.

Nyaraka hizo ambazo zimechapishwa kwenye magazeti ya Afrika kusini, zimedokeza kuwa familia ya Guta ilipokea malipo ambayo yangeweza kuvuka kiwango cha zaidi ya dola milioni 400, katika mpango wa kununua kichwa cha treni kutoka China kwa ajili ya Shirika la Reli la nchi hiyo.

Nyaraka hizo zinadai kwamba Gupta wangepata dola laki saba na nusu.
Hata hivyo familia ya Gupta bado hawajazungumza chochote kuhusiana na shutuma hizo.
Picha GALLO IMAGES Mtoto wa Rais Zuma (kulia).

Msemaji wa Rais Zuma amepinga taarifa hizo na kusema kuwa ni za kutengenezwa.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Zuma Matatani Tena..
Zuma Matatani Tena..
https://ichef-1.bbci.co.uk/news/904/cpsprodpb/11A9E/production/_96305327_6c1c2fc6-52e4-4d4e-a960-9cbac8d4f2d3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/zuma-matatani-tena.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/zuma-matatani-tena.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy