http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Rais Magufuli azidi kuwa gumzo, shirika la wanawake barani Afrika lamtaka kuomba msamaha

  Matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kutoendelea na maso...

 


Matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kutoendelea na masomo yamezua gumzo kubwa na mijadala mbalimbali ndani na nje ya nchi.


Shirika la wanawake barani Afrika limemtaka Rais Magufuli kuomba msamaha kutokana na matamshi yake aliyoyatoa akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani kuwa mwanafunzi atakayepata ujauzito katika utawala wake hataweza kuendelea na masomo.


Hata hivyo, katika sheria iliyopitishwa mwaka 2002 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu suala la mtoto wa kike kupata ujauzito akiwa shule inaruhusu kufukuzwa shule na kifungo cha miaka 30 kwa yule aliyesababisha ujauzito huo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rais Magufuli azidi kuwa gumzo, shirika la wanawake barani Afrika lamtaka kuomba msamaha
Rais Magufuli azidi kuwa gumzo, shirika la wanawake barani Afrika lamtaka kuomba msamaha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCfaUG9-YgzZhmhaS1C7mbMyNX5OZnRF9xk3UeJcusayBiIebpSY_BUdG_iD-aYM0IJeQloq5qBPbFCHdLQKQDQBbwzt9DBDs_xhLtnb5xJKJbC3splLAh2EiIJXs8FAwOuuO1FMT_0HER/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCfaUG9-YgzZhmhaS1C7mbMyNX5OZnRF9xk3UeJcusayBiIebpSY_BUdG_iD-aYM0IJeQloq5qBPbFCHdLQKQDQBbwzt9DBDs_xhLtnb5xJKJbC3splLAh2EiIJXs8FAwOuuO1FMT_0HER/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-azidi-kuwa-gumzo-shirika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-azidi-kuwa-gumzo-shirika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy