DAR: Kijana mmoja amekamatwa leo akijaribu kuingiza simu 5 katika Gereza la Mahabusu Keko. Alizifungasha kwenye mapande ya nyama. Simu hi...
DAR: Kijana mmoja amekamatwa leo akijaribu kuingiza simu 5 katika Gereza la Mahabusu Keko. Alizifungasha kwenye mapande ya nyama.
Simu hizo zilikuwa ziingizwe gerezani humo ili wapewe wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria.



