http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Marekani: Walimu wapewa bunduki Colorado

Walimu wanapewa mafunzo ya kubeba bunduki wakiwa shuleni katika jimbo la Colorado nchini Marekani ili kuwalinda watoto kama hatua baada ya ...



Walimu wanapewa mafunzo ya kubeba bunduki wakiwa shuleni katika jimbo la Colorado nchini Marekani ili kuwalinda watoto kama hatua baada ya mauaji ya watoto mwaka 2012.

Mafunzo hayo ya siku tatu yanayohusu bunduki na ya kutoa matibabu yalianza siku ya Jumanne katika kaunti ya Weld..

Watu 17 ambao watapewa bunduki hizo tayari wameshiriki mafunzo hayo.

Mpango huo ni wa kuruhusu watu wa kujitolea kuingia shuleni wakiwa na bunduki chini ya sheria ya Marekani ya kubeba bunduki.

Walimu walipelekwa kwa majiribio ya kupiga risasi karibu na Denver ambapo walijaribiwa uwezo wao wa kutumi bunduki.

Lakini hatua hiyo imekasirisha makundi kama ya Safe Campus Colorado, ambayo yanawashauri wafuasi kushinikiza mamlaka kusaidia kuondoa bunduki shuleni

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Marekani: Walimu wapewa bunduki Colorado
Marekani: Walimu wapewa bunduki Colorado
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgz7GWl3P3kbgS6fyP1tMzX0jfZWR1_WTBE1SpuYGB_qc1drcLOeWPab7nlL0gY5pIbuTz0iGV3cGtFGMUsUbvDrt9r5-DogPXvPMJShBKgNB3W4tVQS2aHbRM-liixPF_xbhRJWZSMZq98/s400/download.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgz7GWl3P3kbgS6fyP1tMzX0jfZWR1_WTBE1SpuYGB_qc1drcLOeWPab7nlL0gY5pIbuTz0iGV3cGtFGMUsUbvDrt9r5-DogPXvPMJShBKgNB3W4tVQS2aHbRM-liixPF_xbhRJWZSMZq98/s72-c/download.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/marekani-walimu-wapewa-bunduki-colorado.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/marekani-walimu-wapewa-bunduki-colorado.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy