http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mahakama Kuu ya Uganda yaamuru kaburi la Ivan Semwanga(Aliyekuwa Mume wa Zari) lifukuliwe

Wanasheria nchini Uganda wameamua kuifikisha familia ya Ivan Mahakamani kwa makosa ya kuzika pesa halali za Jamhuri ya Uganda katika kabur...


Wanasheria nchini Uganda wameamua kuifikisha familia ya Ivan Mahakamani kwa makosa ya kuzika pesa halali za Jamhuri ya Uganda katika kaburi la ndugu yao Ivan. Kwa nchi yoyote kitendo hicho hakikubaliki kwani pesa hizo zingeweza kutumika katika shughuli zingine na kukuza uchumi wa nchi.

Kitendo hicho kinakuja baada ya marafiki wa Ivan kumwaga mamilioni ya pesa ndani ya kaburi la Ivan kama njia ya kumuaga rafiki yao aliyekuwa maarufu kwa matumizi makubwa ya pesa.

Wanasheria wakiongozwa na Tugume Gideon wa Human Rights Defenders Association Uganda wamesema hawakufurahishwa na kitendo cha RICH GANG cha kuzika mamilioni ya pesa ndani ya kaburi, na kwa vile ni kinyume cha sheria,

wameamua kwenda mahakamani kuomba kaburi la Ivan lifukuliwe, pesa zitolewe zikafanye shughuli nyingine na waliohusika washitakiwe kwa kuharibu kwa makusudi alama ya taifa.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mahakama Kuu ya Uganda yaamuru kaburi la Ivan Semwanga(Aliyekuwa Mume wa Zari) lifukuliwe
Mahakama Kuu ya Uganda yaamuru kaburi la Ivan Semwanga(Aliyekuwa Mume wa Zari) lifukuliwe
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV2XE8Z5NvMsfD0aD_8QCyB3PkBn_DbugGQYwc_pkOImkvDy02SasL_-UWmuXGD1kPWNIlYmw083EMd8qrcIAfExGfE1m3fR64PBW6wOWtVGPzCh4rqVlXiBl235rrcnNc2js4RICv9928/s1600/%255BUNSET%255D.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV2XE8Z5NvMsfD0aD_8QCyB3PkBn_DbugGQYwc_pkOImkvDy02SasL_-UWmuXGD1kPWNIlYmw083EMd8qrcIAfExGfE1m3fR64PBW6wOWtVGPzCh4rqVlXiBl235rrcnNc2js4RICv9928/s72-c/%255BUNSET%255D.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/mahakama-kuu-ya-uganda-yaamuru-kaburi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/mahakama-kuu-ya-uganda-yaamuru-kaburi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy