http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Watu watano wafariki dunia kewa mlipuko wa bomu

Jeshi la Polisi nchini Kenya limepoteza Askari wake watano baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa barabarani katika mji wa Liboi ka...


Jeshi la Polisi nchini Kenya limepoteza Askari wake watano baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa barabarani katika mji wa Liboi karibu na mpaka na Somalia.


Polisi hao wameuawa na shambulio lililotokea katika eneo ambalo Polisi wengine wanne waliuawa katika shambulio kama hilo lililotekelezwa na kundi la Alshabab hivi karibuni.


Wapiganaji wa kundi la Al-Shabab ambao makao yao makuu ni Somali, wameendelea kufanya mashambulio kadhaa nchini Kenya katika siku za hivi karibuni, wakiitaka Serikari ya Kenya kuondoa majeshi yake yanayofanya kazi katika vikosi vya AMISOM.



COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu watano wafariki dunia kewa mlipuko wa bomu
Watu watano wafariki dunia kewa mlipuko wa bomu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXHQccWN72HVysCXHATquHo3pCGa1gEDuj-uvFbwFSKG8Zb3H_XLeGxTqnXmoWH47XnMvdKuzQmeRWhphCIMsYF8ndTbzI_HVYO656K05L2Q8PNFQnb6SCMRh2FkGwAXODg92EkVU1KDrU/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXHQccWN72HVysCXHATquHo3pCGa1gEDuj-uvFbwFSKG8Zb3H_XLeGxTqnXmoWH47XnMvdKuzQmeRWhphCIMsYF8ndTbzI_HVYO656K05L2Q8PNFQnb6SCMRh2FkGwAXODg92EkVU1KDrU/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/watu-watano-wafariki-dunia-kewa-mlipuko.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/watu-watano-wafariki-dunia-kewa-mlipuko.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy