MADAKTARI wa Mercy hospital WAMESEMA WATOTO wote watatu Wilson, Doreen, na Sadia wameendelea VEMA, na maandalizi ya awali yameanza ya kua...

MADAKTARI wa Mercy hospital WAMESEMA WATOTO wote watatu Wilson, Doreen, na Sadia wameendelea VEMA, na maandalizi ya awali yameanza ya kuandaa kuwapeleka "Special Rehab", au Makazi Maalum ya kuendeleza uangaliza wa KARIBU wa AFYA zao, na kufanyiwa MAZOEZI, ingawa wataendelea KUWA WODI ya WATOTO Mercy Hospital kwa SASA hadi MADAKTARI bingwa WATAKAPOJIRIDHISHA na hali yao. MTOTO Wilson alinukuliwa na VYOMBO vya HABARI vya America akisema "Thank you". MTOTO Sadia aliseme "Hello TANZANIA". Sote TUENDELEE kuwaombea. MUNGU mwenyewe AKAWATENDEE mema kwa UTUKUFU wake.
Wajulishe wengine



