http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mamlaka ya hali ya hewa yatoa tahadhari kwa wakazi wa ukanda wa pwani

Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari kubwa kwa wakazi wa ukanda wa pwani kuwa kutakuwepo na upepo mkali na mawimbi makubwa katika ma...


Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari kubwa kwa wakazi wa ukanda wa pwani kuwa kutakuwepo na upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo ya bahari ya Hindi.

Aidha, katika Maeneo yanayotarajiwa kukumbwa na hali hiyo ni pamoja na mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Katika taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo, imesema kuwa kunatarjiwa kuwepo na upepo mkali wa kasi ya kilomita 40 kwa saa na mawimbi yanayozidi mita 2 baharini hivyo watumiaji wote wa bahari wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa.

Hata hivyo, hali hiyo inasababishwa na msukumo wa upepo wa kusi unaotokana na kuimarika kwa mgandamizo mkubwa wa hewa katika ukanda pwani hivyo kusababisha hali hiyo kutkea.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mamlaka ya hali ya hewa yatoa tahadhari kwa wakazi wa ukanda wa pwani
Mamlaka ya hali ya hewa yatoa tahadhari kwa wakazi wa ukanda wa pwani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCDU1XA7YYrYFXRAbnXWna2-B8oWqAZLwc4OIQPSw87NplfHlD-24yrhPrQ7hlwxmTDV6am-BBltlJ-B2vgDAUncRURd-3PEnkyDQc7OZ6jXoalZUaZXVOFagQgDQ88VSrRegG3OHMMwzl/s640/FB_IMG_1496153166321.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCDU1XA7YYrYFXRAbnXWna2-B8oWqAZLwc4OIQPSw87NplfHlD-24yrhPrQ7hlwxmTDV6am-BBltlJ-B2vgDAUncRURd-3PEnkyDQc7OZ6jXoalZUaZXVOFagQgDQ88VSrRegG3OHMMwzl/s72-c/FB_IMG_1496153166321.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/mamlaka-ya-hali-ya-hewa-yatoa-tahadhari.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/mamlaka-ya-hali-ya-hewa-yatoa-tahadhari.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy