http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi kuhusu Serikali kumuondoa nchini, Mkurugenzi wa UNDP, Bi. Awa Dabo.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali yamuondoa Mkurugenzi wa UNDP nchini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeliagiza S...

Serikali Yakanusha Taarifa Inayosambazwa Katika Mitandao ya Kijamii Kwamba Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Ameomba Kujiuzulu
Naibu waziri Tamisemi,Selmani Jafo anusurika kifo ajalini Mbeya
Waziri Mkuu Majaliwa na Spika Job Ndugai Wakutana kujadili maridhiano ya Vyama Vya Siasa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Serikali yamuondoa Mkurugenzi wa UNDP nchini

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeliagiza Shirika la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (United Nations Development Programs – UNDP) kwa upande wa Tanzania kumuondoa nchini Mkurugenzi wa Shirika hilo Bi Awa Dabo.

Serikali ilifikia uamuzi huo kutokana na Bi Dabo kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya Watumishi wenzake na Menejimenti ya Shirika hilo, hivyo kupelekea kuzoretesha utendaji wa shirika hilo nchini na kupunguza kasi ya kuleta maendeleo kwa Watanzania endapo hatua za haraka zisingechukuliwa.

Baada ya kuthibitishiwa kuondoka nchini, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imetoa rai kwa UNDP kuwakumbusha Watumishi wake kuwa kipaumbele chao ni kufanya kazi na Serikali ili kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano na Malengo ya Maendeleo Endelevu ambayo yamefafanuliwa katika Agenda ya Mwaka 2030.


Mwisho.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasili ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma, 25 Aprili 2017.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi kuhusu Serikali kumuondoa nchini, Mkurugenzi wa UNDP, Bi. Awa Dabo.
Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi kuhusu Serikali kumuondoa nchini, Mkurugenzi wa UNDP, Bi. Awa Dabo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg9X9q_eFS0EEF1NnqbNo2DYUAPzNhEY5twmgPKKpLFSk3kQC8STn_52STRW090Py9jF5G3g1XveFqmo5UfoOwRr_3RWKWVRJtRMj4-hEdnbUdXaUFNgePn1nBcPgSMzUdXuc2QgC52XxL/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg9X9q_eFS0EEF1NnqbNo2DYUAPzNhEY5twmgPKKpLFSk3kQC8STn_52STRW090Py9jF5G3g1XveFqmo5UfoOwRr_3RWKWVRJtRMj4-hEdnbUdXaUFNgePn1nBcPgSMzUdXuc2QgC52XxL/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/taarifa-kutoka-wizara-ya-mambo-ya-nje.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/taarifa-kutoka-wizara-ya-mambo-ya-nje.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy