Kipindi hiki unaweza kukidownload na pia kukisikiliza hapa. kipindi kilichofanyiwa mazoezi na Baadhi ya wanafunzi wa Arusha journalism T...
Kipindi hiki unaweza kukidownload na pia kukisikiliza hapa. kipindi kilichofanyiwa mazoezi na Baadhi ya wanafunzi wa Arusha journalism Training college na kipindi hiki ni mali ya SIBUKA FM Dar es Salaam
Ndani ya kipindi hiki kinasehemu tatu ambazo ni Hot news, Mkuki wa leo pamoja na fahamu zaidi na kimeendeshwa na Elia Baraka, Baraka Kaaya, Raymond William pamoja na Emmanuel Richard, pia unaweza kutoa maoni yako kwa ku cooment popote pale utakapopata kipindi hiki na mawasiliano 0754954872, 0764722978, 0762634222
DOWNLOAD




