http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Aanzisha Kampeni ya Kula Wabubu china

Mfanyibiashara mmoja wa Uchina anafanya kampeni za kula wadudu ili kuimarisha tabia za kula nchini humo. Matilda Ho alizungumza katika m...

Mfanyibiashara mmoja wa Uchina anafanya kampeni za kula wadudu ili kuimarisha tabia za kula nchini humo.

Matilda Ho alizungumza katika mkutano wa Teknonoljia, utumbuizaji na mitindo kuhusu umuhimu wa kusambaza ujumbe wa chakula chenye afya.



Anaunga mkono vyakula ikiwemo vile vilivyo na protini kutoka kwa viwavi.
China ina tatizo la ukuwaji kutokana na kunenepe kupitia kiasi na ugonjwa wa kisukari.
''China ina asilimia 20 ya watu duniani lakini ni aslimia 7 pekee ya ardhi yake ilio na rutba'', alisema bi Ho.

Mtu mmoja kati ya raia wanne wa Uchina anaugua ugonjwa wa kisukari na mmoja kati ya watu wanne amenenepa kupita kiasi.

Bi Ho alianza kukabiliana na swala hilo kupitia soko la mtandao la wakulima ambalo sasa linatoa bidhaa 240 kutoka kwa walkulima 57.

Mtandao huo umepata wateja 40,000 tangu uzinduliwe miezi 18 iliopita.
''Nilitaka kutumia teknolojia ili kupunguza pengo lililopo kati ya wakulima na wanunuzi'', bi Ho aliambia BBC.

''Ni haki yako kujua kule chakula chako kinakotoka na kuwahamasisha wateja'' Chakula hicho husambazwa kwa wateja kupitia magari ya kielektroniki na maboksi

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Aanzisha Kampeni ya Kula Wabubu china
Aanzisha Kampeni ya Kula Wabubu china
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioyPx60EgUTgObu-HsAuQJA-ZOcLJJ5oy-Cfif6Jq92DEVNkuMbixBIn_5Ac_ihGy6x6FpLKu6imctOQpSaEGI2-YrFAiaUt_GOSbxq8WtqHLfiQ0oaj10lwo69DBrqnwTuZR9IFkyp2w/s640/_95796247_silkworms.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioyPx60EgUTgObu-HsAuQJA-ZOcLJJ5oy-Cfif6Jq92DEVNkuMbixBIn_5Ac_ihGy6x6FpLKu6imctOQpSaEGI2-YrFAiaUt_GOSbxq8WtqHLfiQ0oaj10lwo69DBrqnwTuZR9IFkyp2w/s72-c/_95796247_silkworms.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/aanzisha-kampeni-ya-kula-wabubu-china.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/aanzisha-kampeni-ya-kula-wabubu-china.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy