http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye akamatwa

Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye,aliyeondolewa madarakani mapema mwaka huu, amekamatwa Ijumaa hii. Kwa mujibu wa jaji, kukamat...




Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye,aliyeondolewa madarakani mapema mwaka huu, amekamatwa Ijumaa hii.

Kwa mujibu wa jaji, kukamatwa kwa Bi. Park kumetokana na hofu kuwa anaweza kujaribu kuharibu ushahidi wa makosa anayotuhumiwa. Waendesha mashtaka walitangaza Jumatatu kuwa walikuwa wakifuatilia kukamatwa kwake kwa mashtaka yanayohusiana na kutumia vibaya madaraka, ufisadi na kuvujisha taarifa muhimu.

Park alikuwa ameshikiliwa kwa muda katika ofisi maalum za mwendesha mashtaka wa Seoul. Amepelekwa kwenye kituo cha kizuizi cha Seoul Ijumaa hii ambako mshirika wake Choi Soon-sil na watu wengine mashuhuri wanaohusishwa na mashtaka hao akiwemo mrithi Samsung, Lee Jae-yong wanashikiliwa pia.

Park bado hajasomewa mashtaka rasmi. Aliondolewa madarakani March 10 baada ya mahakama ya katiba kuamua kumuondoa kutokana na madai ya ufisadi.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye akamatwa
Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye akamatwa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2017/03/170330161851-02-south-korea-president-arrest-0330-exlarge-169.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/rais-wa-zamani-wa-korea-kusini-park.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/rais-wa-zamani-wa-korea-kusini-park.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy