http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Arusha: Watu 80 watiwa mbaroni kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

eshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa 80 akiwemo askari moja wa polisi kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya ...









eshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa 80 akiwemo askari moja wa polisi kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

Aizungumza na wanahabari ofisini
kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema kuwa msako uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu umefanikisha kukamata misokoto 3,845 ya bangi na mirungi Kilogramu 33 pamoja na kete 167.

Alisema, “Katika misako hiyo ambayo ilifanyika wilaya zote sita za mkoa huu, watuhumiwa 54 walipatikana kwenye tuhuma za bangi, 14 ni tuhuma za Heroin na 12 ni wa tuhuma za mirungi.”

Alifafanua, “watuhumiwa 40 ni wauzaji wa madawa hayo huku 13 ni wale ambao walikuwa wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na bangi na mmoja alikuwa anasafirisha. Watuhumiwa 14 wa Heroin kosa lao kupatikana huku 12 makosa yao ni kupatikana na mirungi na hivyo kufanya idadi yao kuwa 80 ambao ni wanaume na wanawake.”

Aidha Kamanda wa Polisi aliwashukuru wananchi wa mkoa huu kwa ushirikiano wa utoaji wa taarifa za uhalifu na kuwaomba waendelee kufanya hivyo.

By: Emmy Mwaipopo

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Arusha: Watu 80 watiwa mbaroni kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya
Arusha: Watu 80 watiwa mbaroni kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2017/02/madawa-ya-kulevya-1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/arusha-watu-80-watiwa-mbaroni-kwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/arusha-watu-80-watiwa-mbaroni-kwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy