Wepesi media, voice of Majority kwa Habari na Matukio
Na Raymond William.
Waongoza utalihi wanaosaidia watalii kupanda milima wameiomba serikali kutazama upya malipo wanayopewa katika utekelezaji wa kazi zao kwasababu hayalingani na ugumu wa kazi wanazofanya kuhudumia watalii.
Kwa sasa waongoza watalii hao wanalipwa wastani wa kiwango cha dola 10 za kimarekani kwa siku ,kiasi ambacho hakilingani na kazi wanazozifanya.
| Katibu wa chama cha waongoza Watalii (TTGA)akiwa anazungumza na waandishi wahabari na wadau wa utalii katika kongamano Utalii mambo ya utalii na uhifadhi kwa waandishi wa habari na wadau wa utalii katika ukumbi wa Palace Hotel 28 January 2017. |
Hayo yamesemwa na katibu wa waongoza watalii Immanuel Mollel katika sa kongamano la mambo ya utalii na uhifadhi kwa waandishi wa habari na wadau wa utalii inayofanyika kwa siku mbili katika hotel ya Palace iliyopo Jijini Arusha.
| Wadau wa Utalii Na wanahabari wakiwa katika kongamano hilo kwaajili ya kubadilishana uzowefu .. |
| Katibu wa wabeba mizigo ya watalii (porters)Loshiye Mollel kongamano Utalii mambo ya utalii na uhifadhi kwa waandishi wa habari na wadau wa utalii katika ukumbi wa Palace Hotel 28 January 2017. |
Katibu huyo amezitaja changamoto mbalimbali ambazo wanazipitia ni pamoja na kukosa mikataba ya ajira, wao kulazimika kununua leseni ili waweze kuwaongoza watalii, uharibifu wa mazingira na tabia nchi pamoja na ujangili.
Kwa upande wake Katibu wa chama cha wabeba mizigo ya watalii Loshiye Mollel amesema changamoto kubwa wanazozipata ni pamoja na mazingira magumu wanayokabiliana nayo katika utendaji kazi wao.
“wakati tunapokuwa mlimani umebeba mzigo wa mgeni kuna magonjwa ya mlimani ,sasa namna ya kumuokoa huyu mbeba mizigo ya mtalii ni shida sana ,kwani itawalazimu wale ambao wapo kule juu mlimani wakushushe kwa machela hadi chini ,huko napo unakutana na changamoto nyingine hakuna gari kwani magari yapo mawili tu"
"Tupo wabeba mizigo zaidi ya 28,000,kwa siku moja tunakuwa mlimani zaidi ya wabeba mizigo (porters) 4000 au 3000,tunaiomba serikali kutuongezea magari ili kuwepo urahisi wakati wa kumsaidia mbeba mizigo ya watalii anapopata shida akiwa mlimani) mlimani,a
| Afisa Utalii Mkoa wa Arusha Florah Bazili Akichangua juu ya ma potaz wakati huohuo akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari pamoja na wadau wa utalii, katikaa mada yake ya hali ya utalii mkoani Arusha. |
IN ENGLISH.
Upon that helped guide the tourists climb mountains have asked the government to reconsider the payments given in the execution of their work because it does not match the difficulty of the work they do cater to tourists.For now guide the tourists are paid an average rate of 10 US dollars per day, an amount that does not match the work they do.That has been said by the secretary of Immanuel Mollel guide tourists in sa concert of the elements of tourism and conservation in the media and tourism stakeholders held for two days at the Palace hotel in Arusha.The Secretary has mentioned the various challenges they pass it along to a lack of labor contracts, they are forced to purchase a license in order to lead them to tourists, environmental degradation and climate as well as poaching.For his part, Secretary of the party of porters tourists Loshiye Mollel said major challenges are facing include the vulnerability they face in their performance."When we were on the mountain bears the burden of visitor there are diseases of the mountain, now how to save him this porter of a tourist is too much trouble, since going to have those who are there on the mountain wakushushe on a stretcher to the bottom, there and there you meet another challenge no car because cars only two are ""We're porters more than 28,000, one day we have a mountain more porters (PORTERS) 4000 or 3000, we asked the government increased their cars to exist easily when help porter tourists gets distressed at the mountain) mountain,



