http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Trump amfuta kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu baada ya kupinga agizo lake..

Rais wa Marekani, Donald Trump amemfuta kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Sally Yates saa chache baada ya kiongozi huyo kuwaagiza Ma...

Rais wa Marekani, Donald Trump amemfuta kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Sally Yates saa chache baada ya kiongozi huyo kuwaagiza Mawakili kutotetea uamuzi wa kuwawekea vikwazo vya kuingia Marekani raia wa nchi saba zenye waislamu wengi.



Sally Yates aliyeteuliwa na Rais Obama alisema kuwa alitoa agizo hilo kwa Mawakili sababu haamini kama zuio la raia kuingia Marekani ni halali.


Rais Trump Ijumaa alitia saini amri inayozuia raia kutoka Somali, Sudan, Libya, Yemen, Iran, Syria na Iraq kuingia nchini Marekani ambapo zuio hilo ni la siku 90.


Maandamano yamezuka maneneo mbalimbali ya Marekani huku wakipinga zuio hilo. Wanadiplomasia wamesema kuwa zuio hilo huenda likasababisha hatari zaidi kwa usalama wa Marekani.

Aidha, baadhi wamehoji kwanini zuio limewekwa kwa nchi hizo saba wakati kwa miaka ya hivi karibuni hakuna raia wake aliyehusika na ugaidi nchini Marekani?


Rais Trump amevikosoa vyombo vya habari vinavyopotosha kuwa zuio hilo ni kwa Waislamu pekee. Rais Trump amesisitiza kuwa zuio hilo ni kwa raia wote wanaotoka katika nchi hizo hata kama si Waislamu.


Trump alisaini amri hiyo katika kile alichosema kuwa ni kuzuia watu wenye misimamo mikali kuingia nchini Marekani ikiwa ni hatua za kuimarisha ulinzi na usalama

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Trump amfuta kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu baada ya kupinga agizo lake..
Trump amfuta kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu baada ya kupinga agizo lake..
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSlcXsnYJYl4XPwxCLoB5c2a6oblfRf53nROXVP1Qfnp7Csi56WVum1Ec7-XvGyDi6xWO1Kprl2RnYNtOZ8mIahTRUTz0U0gvO_1vj0FeL7QwGyvZHAQJWK9-LTlS9DBXjvZOB5wrRgqA/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSlcXsnYJYl4XPwxCLoB5c2a6oblfRf53nROXVP1Qfnp7Csi56WVum1Ec7-XvGyDi6xWO1Kprl2RnYNtOZ8mIahTRUTz0U0gvO_1vj0FeL7QwGyvZHAQJWK9-LTlS9DBXjvZOB5wrRgqA/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/trump-amfuta-kazi-kaimu-mwanasheria.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/trump-amfuta-kazi-kaimu-mwanasheria.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy