http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Picha: Wachimbaji 15 waliofukiwa mgodini Geita waokolewa wakiwa hai

Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi wa RZ Nyarugusu mkoani Geita wameokolewa wote wakiwa hai. Wachimbaji hao wam...


Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi wa RZ Nyarugusu mkoani Geita wameokolewa wote wakiwa hai.


Wachimbaji hao wameokolewa leo asubuhi baada ya jitihada za uokoaji kufanyika kwa muda mrefu. Matumaini ya kuwapata watu hao yaliongeza jana usiku ambapo walituma ujumbe kwenye karatasi kuwa wapo 15 na kuorodhesha mahitaji yao


Taarifa za kufukiwa kwao zilizeleza kuwa miongoni mwa waliofukiwa ni pamoja na raia mmoja wa China.Mgodi huo unamilikiwa na mwekezaji kutoka nchini China.


Picha za zoezi la uokoaji lilivyofanyika











COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Picha: Wachimbaji 15 waliofukiwa mgodini Geita waokolewa wakiwa hai
Picha: Wachimbaji 15 waliofukiwa mgodini Geita waokolewa wakiwa hai
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWPRljUXn-DeroqXZh92-RULPOc66PQ-QZyFdg76NhdLAVMH5n1q9NUg8hObJE82MjpR-hRVMc3qsNA65kHdhv802ecciIK1I6-t65s0SWhuta3ZMBc2rlCe0MdcAtG1FeQdgV6nu8Ev0/s1600/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWPRljUXn-DeroqXZh92-RULPOc66PQ-QZyFdg76NhdLAVMH5n1q9NUg8hObJE82MjpR-hRVMc3qsNA65kHdhv802ecciIK1I6-t65s0SWhuta3ZMBc2rlCe0MdcAtG1FeQdgV6nu8Ev0/s72-c/1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/picha-wachimbaji-15-waliofukiwa-mgodini.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/picha-wachimbaji-15-waliofukiwa-mgodini.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy