http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Wasichana 13 walioingia nchini kinyemela wanaswa Wakifanya UKAHABA

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imewakamata wasichana 13 kutoka nchi za Nebal na India wenye umri kati ya miaka 18 na 26 ambao ...




Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imewakamata wasichana 13 kutoka nchi za Nebal na India wenye umri kati ya miaka 18 na 26 ambao wameletwa nchini kinyume cha sheria na kuendesha biashara ya ukahaba katika jijini humo.

Akiongea na waandishi wa habari leo mara baada ya kufanya oparesheni ya kufunga madanguro yote na kuwasaka raia wa kigeni wanaoishi nchini kinyume cha Sheria, Kamishna wa Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule amesema mbali na raia hao wa kigeni pia wamewamakata raia wa Kitanzania mbao wanashirikiana na wahamiaji hao.


Amemtaja Bwana Mohamed Shabani Magamba ambaye anatengeneza vibali vya kugushi ambapo pia amekutwa na pastpoti 4 za raia wa nchi za Nigeria, Botswana, Somalia na Uingereza.


Bwana Msumule ameitaja Wilaya ya Kinondoni kuwa inaongoza kwa kuwa na Madanguro ikifuatiwa na Temeke ambapo kwa sasa wanajipanga kuyaondoa kwa muda wa siku 10 madanguro hayo pamoja na kuendesha oparesheni kubwa katika Mitaa ya Msimbazi, Lumumba na Uhuru katika soko la Kariakoo na maeneo ya Mtoni Mtongani na Sabasaba ambako wamekwisha yafanyia uchunguzi wa kina.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wasichana 13 walioingia nchini kinyemela wanaswa Wakifanya UKAHABA
Wasichana 13 walioingia nchini kinyemela wanaswa Wakifanya UKAHABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwI4-T5utqtnDXr2BhsMr0nb4OUejQ4g7eFOLsG2S3PQOQ57Jdxzd3TcHMnFvUMgPVDrcrhmpo7MoyIMtyiE2hqto6YZl7AAQ28O0yILxdPO_8tsUKkpg5IRzbqVSJCcK3-UpdxFPP1Mk/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwI4-T5utqtnDXr2BhsMr0nb4OUejQ4g7eFOLsG2S3PQOQ57Jdxzd3TcHMnFvUMgPVDrcrhmpo7MoyIMtyiE2hqto6YZl7AAQ28O0yILxdPO_8tsUKkpg5IRzbqVSJCcK3-UpdxFPP1Mk/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/wasichana-13-walioingia-nchini.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/wasichana-13-walioingia-nchini.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy