http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

WATU KUMI(10) WAMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA BASI MKOANI LINDI.!!!!

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaa...


Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Lindi kupata ajali eneo na Miteja mkoani Lindi.


Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Renata Mzinga imesema kuwa chanzo cha ajali hiyo kimetokana na tairi ya gari ya upande wa kushoto kupasuka na kutokana na mwendo wa kasi wa basi hilo, dereva alipoteza uelekeo ndipo likapinduka.


Pia Kamanda Mzinga amesema kuwa wamechunguza na kugundua kua licha ya kuwa basi hilo lilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 48, wakati basi hilo linapata ajali kulikuwa na abiria 54 kitu ambacho ni kosa kisheria.


Aidha, Kamanda Mzinga amesema kuwa bado wanaendelea na uchunguzi kuweza kubaini alipo dereva ili kuweza kufahamu ni kipi hasa kilichotokea. Hadi sasa wanamshikilia kondakta wa basi hilo lakini bado hajaweza kuelezea tukio halisi.


COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : WATU KUMI(10) WAMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA BASI MKOANI LINDI.!!!!
WATU KUMI(10) WAMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA BASI MKOANI LINDI.!!!!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3niV2pV97UKAonUWnHBxbqpLbTpyaKpyZadzxXCNspPeuiY7eLLVCrHft27OoHYcD3DUXGCPm_9jWwVGUDmwQyIpm22P41Dmc7s8Frew_gMqGS60vZNLkEGYwJvRz2Fsv-ONhzpoBsUg/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3niV2pV97UKAonUWnHBxbqpLbTpyaKpyZadzxXCNspPeuiY7eLLVCrHft27OoHYcD3DUXGCPm_9jWwVGUDmwQyIpm22P41Dmc7s8Frew_gMqGS60vZNLkEGYwJvRz2Fsv-ONhzpoBsUg/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/watu-kumi10-wafefariki-dunia-kwa-ajali.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/watu-kumi10-wafefariki-dunia-kwa-ajali.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy