http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma

Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjiniDodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo ...


Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjiniDodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi kilichopo Selian mkoani Arusha.


Mbele ya Hakimu Mkazi, Joseph Fovo washtakiwa hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi hiyo isipokuwa Mahakama Kuu.


Wanadaiwa kuwaua Nicas Mag- azine, Theresia Nguma na Faraji Mafuru, Oktoba Mosi kwenye Kijiji cha Iringa Mvumi wilayani Chamwino.


Wakili wa Serikali, Beatrice Nsana aliwasomea mashtaka hayo jana akidai walitenda kosa hilo la jinai kinyume na kifungu cha 196 na 197 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu na marekebisho yake ya mwaka 2002.


Washtakiwa hao ni Cecilia Mwalu, Dorca Mbehu, Edna Nuno, Grace Masaulwa, Juma Madeha, Albert Chimanga, Sosteness Mseche, Julius Chimanga, David Chimanga, Lazaro Kwanga, Yoramu Samamba, Edward Lungwa na Simon Samamba, wote wakazi wa Kijiji cha Iringa Mvumi.

Kesi hiyo namba 36/2016 iliahirishwa hadi Oktoba 31. Nsana alidai upelelezi haujakamilika.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma
Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJL4OrYinfRqAkXkpfSwHLfyT5hh2V1_mZeViKjA7nAyUpuRTxmSJ3UH-audL5mVex-k-Y2C5vu8CF4XSeVfXhskRFpp_Zxw9I79vsZbYWb1C1ZSQMyde1ep2qKLh78hMtMvxHVpOPsbk/s640/aa5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJL4OrYinfRqAkXkpfSwHLfyT5hh2V1_mZeViKjA7nAyUpuRTxmSJ3UH-audL5mVex-k-Y2C5vu8CF4XSeVfXhskRFpp_Zxw9I79vsZbYWb1C1ZSQMyde1ep2qKLh78hMtMvxHVpOPsbk/s72-c/aa5.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/watu-13-kizimbani-kwa-mauaji-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/watu-13-kizimbani-kwa-mauaji-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy