http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Watu 12 wafariki kutokana na foleni ya magari

Image copyright AFP Image caption Wengi walikuwa wakisafiri baada ya mwisho wa mfungo wa Ramadhan Watu 12 wamefariki nchini Indonesia k...



RamadhanImage copyrightAFP
Image captionWengi walikuwa wakisafiri baada ya mwisho wa mfungo wa Ramadhan
Watu 12 wamefariki nchini Indonesia kutokana na foleni ya magari iliyosababisha mamilioni ya watu kukwama barabarani siku kadha.
Wengi walifariki kutokana na kukosa maji mwilini na uchovu.
Watu wengi waliokuwa wakisafiri kwa sherehe za kuadhimisha mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan walikusanyika katika makutano ya barabara kisiwa cha Java.
Na hapo ndipo msongamano mkubwa wa magari ulipotokea.
Maafisa wa uchukuzi nchini Indonesia wanasema vifo hivyo vimetokea katika kipindi cha siku tatu.
Vyombo vya habari nchini Indonesia vinasema wengi wa waliofariki ni wazee ambao walikwama ndani ya magari chini ya joto kali.
Mtoto mmoja mchanga alifariki kutokana na kinachodhaniwa kuwa ni kupumua hewa chafu iliyojaa moshi wa magari.

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu 12 wafariki kutokana na foleni ya magari
Watu 12 wafariki kutokana na foleni ya magari
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/12/24/151224061923_delhi_traffic_jam_640x360_afp_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/watu-12-wafariki-kutokana-na-foleni-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/watu-12-wafariki-kutokana-na-foleni-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy