moja wa wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (theodora)akiwa katika mazoezi ya uwasilishaji wa vipindi mbalim...
| moja wa wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (theodora)akiwa katika mazoezi ya uwasilishaji wa vipindi mbalimbali kama vile…Taarifa ya habari,michezo,matukio pamoja na kipindi maalum. |
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani katika masomo yao mbalimbali kulia ni clemensi palanjo katika mafunzo hayo,
Wanafunzi wa chuo hicho wakiwa katika hrakati za kuongeza uwezo wa darasan kwakujisomea na kuandaa vipindi mbalimbali kwaajili ya fanya mazoezi kwa njia ya radio
moja wa wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (theodora)akiwa katika mazoezi ya uwasilishaji wa vipindi mbalimbali kama vile…Taarifa ya habari,michezo,matukio pamoja na kipindi maalum.
DJakifanya yake ili kuhakikisha mambo yote ya mawasiliano na presenter yana kwenda safi
Wanafunzi wote kwa ujumla wakiwa katika ukumbi wa chuo hicho wakisikiliza uwasilishwaji wa vipndi vya redio nabadae kuweza kutoa comment ilikuweza kukuza uwezo wa kutangaza.
Moja ya wakufunzi katika chuo hicho (Mr.Ishengoma)akitoa mwongozo mara baada ya vipindi kuwasiliswa nakuweza kusikilizwa vyema na wanafunzi pamoja na wakufunzi.
Maoni ya wanafunzi kuusu mwanafunzi mwenzao alicho wakilisha kwa njia ya redio nahii hutolewa kwaajili ya kuweka mambo sawa kwaku rekebisha pale alipo kosea.
Wanafunzi wakifanya majadiliano juu ya maswaala ya uwasilishwaji wa vipindi mbalimbali vilivyo fanyika ndani ya studio za chuo hicho kupitia masafa ya 96.6 studio ya radio.



