http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Ugonjwa wa ukimwi wajadiliwa

Image copyright SPL Mkutano wa kimataifa kuhusu maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi unaanza leo mjini Durban,Afrika kusini ukiwa na l...

Image copyrightSPL
Mkutano wa kimataifa kuhusu maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi unaanza leo mjini Durban,Afrika kusini ukiwa na lengo la kuongeza harakati za kukabiliana na ugonjwa wa ukimwi. Takwimu za maambukizi kwa ujumla imeshuka lakini bado kuna watu wapatao milioni thelathini na sita wanaishi na virusi vya ukimwi vinavyosababisha Ukimwi.
Nchi hiyo ilipata sifa kubwa katika vita dhidi ya UKIMWI miaka ya 90 ambako kasi ya maambukizi ilipungua.
Mwaka wa 2013 takriban watu zaidi ya milioni moja Unusu walikuwa wakiishi na virusi vinavyosababisha UKIMWI na katika kipindi hicho watu laki sita na elf tatu walifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI.

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ugonjwa wa ukimwi wajadiliwa
Ugonjwa wa ukimwi wajadiliwa
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/07/21/140721112638_hiv_viral_reservoirs_512x288_spl.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/ugonjwa-wa-ukimwi-wajadiliwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/ugonjwa-wa-ukimwi-wajadiliwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy