http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Leicester yamsajili mshambuliaji wa Nigeria


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Image copyright REUTERS Image caption Ahmed Musa Klabu ya Leicester City imemsajili mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa kutoka CSKA Moscow k...

Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo
Sevilla watwaa kombe ligi ya Europa
Simba walia usaliti kuvurunda ligi
Image copyrightREUTERS
Image captionAhmed Musa
Klabu ya Leicester City imemsajili mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa kutoka CSKA Moscow kwa kandarasi ya miaka 4 itakayogharimu pauni milioni 16.
Southampton,Everton na West Ham walikuwa wakitafuta saini ya mchezaji huyo.
Musa ni mchezaji wa nne kusajiliwa na Leicester baada ya kipa Ron-Robert Zieler ,beki Luis Hernandez na kiungo wa kati Nampalys Mendy.
Mchezaji huyo alijiunga na CSKA mwaka 2012 na kufunga mabao 54 kati ya mechi 168 alizocheza,na amefunga mabao 11 katika mechi 58 alizochezea Nigeria tangu aanze kucheza mwaka 2010.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Leicester yamsajili mshambuliaji wa Nigeria
Leicester yamsajili mshambuliaji wa Nigeria
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/06/25/140625162853_argentina_512x288_reuters.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/leicester-yamsajili-mshambuliaji-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/leicester-yamsajili-mshambuliaji-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy