http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Klopp aweka kandarasi ya miaka 6 na Liverpool


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Image copyright REUTERS Image caption Jurgen Klopp Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na mmiliki wa kl...

NIYONZIMA:ACHENI UTANI YANGA HII NI HATARI.
TFF YATOA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM
TFF watoa Ngao mpya kwa Simba
Image copyrightREUTERS
Image captionJurgen Klopp
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia kandarasi ndefu.
Klopp alijiunga na Liverpool mnamo mwezi Oktoba ,baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15 ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.
''Uongozi wake utakuwa muhimu katika kufanikisha malengo yetu'' ,alisema mmiliki wa Liverpool.
Image copyrightAP
Image captionWachezaji wa Liverpool
Klopp aliifikisha Liverpool katika fainali ya League Cup pamoja na fainali ya Europa League msimu uliopita.
Raia huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 49 aliisaidia Borussia Dortmund kushinda mataji mawili ya Bundesliga pamoja na kucheza fainali ya vilabu bingwa Ulaya 2013

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Klopp aweka kandarasi ya miaka 6 na Liverpool
Klopp aweka kandarasi ya miaka 6 na Liverpool
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/03/11/160311084035_jurgen_klopp_640x360_reuters_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/klopp-aweka-kandarasi-ya-miaka-6-na.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/klopp-aweka-kandarasi-ya-miaka-6-na.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy