http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

UKIMWI wa Paka umegunduliwa kwenye nchi ya Kenya

Kwenye nchi ya Kenya virusi hatari aina ya FIV vinaavyofanana kabisa na virusi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI vimegunduliwa katika pa...

Kwenye nchi ya Kenya virusi hatari aina ya FIV vinaavyofanana kabisa na virusi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI vimegunduliwa katika paka mmoja ikiwa ni baada ya uchunguzi wa kina wa damu ya paka huyo kuthibitisha uwepo wa viini vinavyofanana kabisa na vile vinavyoathiri binaadamu.
Wafugaji wa paka na wanyama wa nyumbani wametakiwa kuwapeleka wanyama wao kufanyiwa uchunguzi wa afya wanapowashuku wanyama wao wanaugua, virusi hivyo vinaitwa FIV (Feline Immunodefficiency Virus) na wanasema ugonjwa huu sio mgeni kwa wanyama.
kwa mujibu wa BBC SWAHILI, Mwaka wa 1986 madaktari wa Marekani waligundua virusi vilivyofanana kwa karibu na vile vinavyoambukiza binadamu vya HIV lakini hii ndio mara ya kwanza kwa virusi hivyo kugunduliwa nchini Kenya.
Madaktari wa maabara ya Lancet Nairobi waligundua kuwa virusi hivyo vinasababisha ukosefu wa kinga mwilini na kudhoofisha afya ya wanyama hao wanaopendwa na kuishi majumbani lakini hata hivyo waliwahakikishia wafugaji wa paka kuwa hakuna ushuhuda wowote wa maambukizi kutoka kwa paka hao kwenda kwa binadamu.
Daktari Dhaval Shah badala yake amewashauri wafugaji wa paka kuwafungia paka wao ndani ili kuwazuia wasijamiiane na wale paka wanaorandaranda mitaani ambao huenda wameambukizwa UKIMWI wa paka ambao unaambukizwa kupitia mate na mkwaruzano paka wanapopigana.

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : UKIMWI wa Paka umegunduliwa kwenye nchi ya Kenya
UKIMWI wa Paka umegunduliwa kwenye nchi ya Kenya
http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/06/PAKA.jpg?resize=601%2C390
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/ukimwi-wa-paka-umegunduliwa-kwenye-nchi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/ukimwi-wa-paka-umegunduliwa-kwenye-nchi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy