http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mtoto mwenye umri wa miaka 4, Auwawa jijini Arusha

 Eneo la Unga Limited, jijini Arusha Mtoto wa miaka minne amenajisiwa na kuvunjwa shingo na kutupwa kandokando ya njia ya watembea k...


 Eneo la Unga Limited, jijini Arusha

Mtoto wa miaka minne amenajisiwa na kuvunjwa shingo na kutupwa kandokando ya njia ya watembea kwa miguu karibu na mfereji wa maji umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwao jijini Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Yusuf Ilembo, tukio la kunajisiwa kwa mtoto huyo wa kike lilitokea Juni 20, mwaka huu saa 3.30 usiku kwenye makaburi ya baniani Kata ya Unga Limited.

Kaimu Kamanda wa Polisi Ilembo alidai mtoto huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa akicheza na wenzake nje kidogo ya nyumbani kwao na ilipofika saa 12 jioni kwa mujibu wa marafiki zake (majina yamehifadhiwa) wanasema alifika mtu mmoja mwanamume mrefu.

Kwa mujibu wa watoto hao, mwanamume huyo alikuwa amevaa suruali na kumwambia mtoto huyo amfuate akamnunulie pipi na hapo ndipo alipomfuata huyo mwanamume huyo na hakurudi tena.MT

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mtoto mwenye umri wa miaka 4, Auwawa jijini Arusha
Mtoto mwenye umri wa miaka 4, Auwawa jijini Arusha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbinBsARC6EO0KMjmgC55_11HFCn5-3BCAsuvt_x2JkitBRqAM5yclxBZcFNzLkqEm_ulPOCvbKC7KoGYwjWexEf3fPQsVlNm4ADCdeQhumHsatZdTu7JALUobJyTOgF-nA30fJAWBizYs/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbinBsARC6EO0KMjmgC55_11HFCn5-3BCAsuvt_x2JkitBRqAM5yclxBZcFNzLkqEm_ulPOCvbKC7KoGYwjWexEf3fPQsVlNm4ADCdeQhumHsatZdTu7JALUobJyTOgF-nA30fJAWBizYs/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/mtoto-mwenye-umri-wa-miaka-4-auwawa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/mtoto-mwenye-umri-wa-miaka-4-auwawa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy