http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Boti yazama na wahamiaji Ugiriki

Image copyright KEMENTRIAN PERTAHANAN INGGRIS Image caption Wahamiaji walionusurika Operesheni kubwa ya uokoaji inaendelea karibu na kis...

Image copyrightKEMENTRIAN PERTAHANAN INGGRIS
Image captionWahamiaji walionusurika
Operesheni kubwa ya uokoaji inaendelea karibu na kisiwa cha Ugiriki cha Crete baada ya boti iliokuwa na mamia ya wahamiaji kuzama.
Walinzi wa pwani ya Ugiriki wanasema kuwa zaidi ya watu 300 wameokolewa kufikia sasa huku miili mitatu ikipatikana.
Kiongozi wa shirika la kimataifa kuhusu Uhamiaji katika eneo hilo Daniel Esdras ameiambia BBC kwamba chombo hicho kilikuwa boti ya mita 25 kwa urefu ambayo ina uwezo wa kubeba watu 700.
Vyombo vya majini vya walinzi wa pwani ,ndege na helikopta zimehusishwa katika operesheni hiyo ambayo inafanyika yapata kilomita 100 kutoka pwani .
Hadi kufiki sasa ni wahamiaji wachache waliowasili Crete ambayo ipo kaskazini mwa Libya na Misri.

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Boti yazama na wahamiaji Ugiriki
Boti yazama na wahamiaji Ugiriki
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/29/160529195302_imigrasi_640x360_kementrianpertahananinggris_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/boti-yazama-na-wahamiaji-ugiriki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/boti-yazama-na-wahamiaji-ugiriki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy