http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Aliyeondolewa Ukuu wa wilaya Lushoto ajitetea,adai hakubebwa...!!!

Siku moja baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza upya nafasi za wakuu wapya wa wilaya nchini, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya L...

Siku moja baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza upya nafasi za wakuu wapya wa wilaya nchini, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Lushoto mwenye umri mdogo kuliko wenzake ambaye jina lake limeondolewa katika orodha hiyo Mariam Juma,amedai kuwa nafasi aliyokuwa ameipata sio kwamba alichaguliwa kwa upendeleo,na badala yake elimu ndio iliyosababisha kupata hadhi ya kumuwakilisha Rais wa awamu ya nne.
 
Amezungumza hayo na wazazi,viongozi wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,pamoja na viongozi wa serikali ngazi ya wilaya katika harambee ya kuchangia maendeleo katika chuo cha mafunzo ya ujasiriamali kilichopo vuga wilayani Lushoto.

Awali akielezea shughuli zinazofanywa katika Chuo maalum cha kujifunza ujasiriamali ikiwemo kutengeneza mizinga ya nyuki kwa kutumia udongo wa mfanyanzi,elimu ya mazingira pamoja na kilimo cha mboga mboga ili kuwapunguzia vijana changamoto za maisha,Mkuu wa chuo hicho Mchungaji Yohana Mmaka amesema elimu ya ujasiriamali imekuwa na mafanikio makubwa kwa kuwawezesha vijana kujitambua.

Kufuatia hatua hiyo,diwani wa kata ya Vuga wilayani Lushoto Jumaa Dhahabu,ameiomba serikali kuu kuwahisha mafungu ya fedha za shughuli za maendeleo katika halmashauri ya wilaya hiyo,kufuatia miradi tofauti ikiwemo ujenzi wa maabara iliyoanzishwa na rais wa awamu ya nne kusitishwa.

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Aliyeondolewa Ukuu wa wilaya Lushoto ajitetea,adai hakubebwa...!!!
Aliyeondolewa Ukuu wa wilaya Lushoto ajitetea,adai hakubebwa...!!!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTw5QzG_Ix0awzhEhnMffcQC1XayvjazvjCwRHAPGgjol8QQWpL45ISxWxl2QHflA9S9iCrpoC0sdXDab-YEN2duHNQH_BsrjwX5Fi68RIveLZtm4_T9V8I-b4NYX8STwI0T6C_ToQgy8/s1600/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTw5QzG_Ix0awzhEhnMffcQC1XayvjazvjCwRHAPGgjol8QQWpL45ISxWxl2QHflA9S9iCrpoC0sdXDab-YEN2duHNQH_BsrjwX5Fi68RIveLZtm4_T9V8I-b4NYX8STwI0T6C_ToQgy8/s72-c/2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/aliyeondolewa-ukuu-wa-wilaya-lushoto.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/aliyeondolewa-ukuu-wa-wilaya-lushoto.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy