Moto mkubwa waendelea kuwaka Canada Maafisa nchini Canada wanasema kuwa moto unaoendelea kuwaka katika mji mkuu wa ...
| Moto mkubwa waendelea kuwaka Canada |
Maafisa nchini Canada wanasema kuwa
moto unaoendelea kuwaka katika mji mkuu wa kuzalisha mafuta na vitongoji
vyake wa Fort MucMurray utaongezeka maradufu chini ya muda wa masaa 24
yajayo.
| Shughuli za uokoaji zatatizwa |
Kiwango na gharama ya hasara iliyopatikana kutokana na moto huo haijagharamiwa, lakini Serikali inasema kuwa zaidi ya nyumba 1,600 zimeteketea na kuwa malipo ya bima yatagharimu mabilioni ya dola.
Maeneo mawili ya kuzoa changarawe yametishiwa na moto huo, ambao umesambaa katika eneo linalozidi ekari 100,000.



