http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

KIJANA ALIYEUGUA UGONJWA WA KUZEEKA AAGA DUNIA

NIHAL BITLA Kijana mmoja wa mjini Mumbai ambaye amekuwa akiugua ugonjwa usio kawaida wa jeni ambao huufanya mwili kuzeeka mara nane z...

NIHAL BITLA
Kijana mmoja wa mjini Mumbai ambaye amekuwa akiugua ugonjwa usio kawaida wa jeni ambao huufanya mwili kuzeeka mara nane zaidi ya ilivyo kawaida amefariki.

Nihal Bitla mwenye umri wa miaka 15 alikuwa mwanaharakati wa India anayefanya kampeni dhidi ya ugonjwa huo kwa jina Progeria.

Bitla aligonga vichwa vya habari alipokuwa akitafuta wagonjwa wengine 60 wanaougua ugonjwa huo ili kushiriki katika yake mjini Boston.Alianzisha mtandao wa kijamii kutoa hamasa kuhusu ugonjwa huo.

Hivi karibuni alianzisha hamasa kwa jina #HatsOnProgeria,ambapo alionekana na kundi moja la wafuasi wake katika kituo cha reli cha Chhatrapati Shivaji.

Bitla alipata umaarufu baada ya kukutana na nyota wa Bollywood Aamir Khan mnamo mwezi Disemba baada ya ukurasa wake wa facebook kuzungumzia kuhusu habari yake na swala kwamba alikuwa shabiki mkubwa wa nyota huyo.

Alifariki hospitalini siku ya Jumanne kusini mwa jimbo la Telangana,ambapo alikuwa ameenda kuhudhuria sherehe za harusi.

Ripoti za vyombo habari zinasema kuwa huenda alikosa maji mwilini kutokana na joto katika eneo hilo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : KIJANA ALIYEUGUA UGONJWA WA KUZEEKA AAGA DUNIA
KIJANA ALIYEUGUA UGONJWA WA KUZEEKA AAGA DUNIA
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/05/160505133338_nihal_640x360_bbc_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/kijana-aliyeugua-ugonjwa-wa-kuzeeka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/kijana-aliyeugua-ugonjwa-wa-kuzeeka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy