http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Aliyevunja Tamasha la T.I kwa Kusababisha Mauaji Akamatwa na Polisi

Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mau...

Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu watatu, polisi wamemkamata mtuhumiwa wa tukio hilo. 

Mtuhumiwa huyo ambaye ni rapper wa Marekani anayejulikana kama Troy Ave, anatuhumiwa kwa kufanya tukio hilo la mauaji na kujeruhi kutokana na kamera zilizopo kwenye ukumbi.

 Troy Ave, mtuhumiwa wa mauaji
 
Kutokana na tukio hilo lililotokea rapper T.I amepost Instagram kwa kuandika: “My heart is heavy today. Our music is intended to save lives, like it has mine and many others. My heartfelt condolences to the family that suffered the loss & my prayers are with all those injured. Respectfully, Tip.”



credit Gumzo la jiji

TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Aliyevunja Tamasha la T.I kwa Kusababisha Mauaji Akamatwa na Polisi
Aliyevunja Tamasha la T.I kwa Kusababisha Mauaji Akamatwa na Polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1x1K5eXoTxLrYlM3dv7uTg_de72oHJUJKS4gEQBMMBFBc8oYR8sFkaTjjmZjcRPl2H4RF05heTjqY_8OAWopHVF1jiBQC-wxlshCNfVWZ6hf_1CFbBBF1YblxaGZT6aNrMVKc8CbTYEw/s1600/TI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1x1K5eXoTxLrYlM3dv7uTg_de72oHJUJKS4gEQBMMBFBc8oYR8sFkaTjjmZjcRPl2H4RF05heTjqY_8OAWopHVF1jiBQC-wxlshCNfVWZ6hf_1CFbBBF1YblxaGZT6aNrMVKc8CbTYEw/s72-c/TI.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/aliyevunja-tamasha-la-ti-kwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/aliyevunja-tamasha-la-ti-kwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy