http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

WILLIAM RUTO HANA KESI YA KUJIBU ICC

Makamu wa rais wa kenya William Ruto Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeamua Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ...

Makamu wa rais wa kenya William Ruto

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeamua Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto hana kesi ya kujibu kuhusiana na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu yaliyokuwa yanamkabili.

Aidha, imeamua pia kwamba mwanahabari Joshua arap Sang, aliyeshtakiwa pamoja na Bw Ruto, hana kesi ya kujibu.

Bw Ruto alikabiliwa na mashtaka ya mauaji, kuhamisha watu kwa lazima na mateso yaliyotekelezwa wakati wa vita vya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.
Alikana mashtaka hayo na mawakili wake walitaka kesi hiyo itupiliwe mbali kutokana na ukosefu wa ushahidi.

Watu takriban 1,200 waliuawa wakati wa mapigano hayo.
Majaji wamesema upande wa mashtaka haukutoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha madai dhidi ya Bw Ruto na Bw Sang.

Desemba mwaka 2014, mwendesha mashtaka aliondoa mashtaka sawa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta akisema mashahidi walikuwa wametishiwa na kubadilisha ushahidi wao.

Bw Ruto na Bw Kenyatta walikuwa kwenye mirengo pinzani wakati wa uchaguzi wa 2007 lakini waliunda muungano wa kisiasa na wakashinda Uchaguzi mkuu 2013

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : WILLIAM RUTO HANA KESI YA KUJIBU ICC
WILLIAM RUTO HANA KESI YA KUJIBU ICC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFUwrzukTmiRGFemhKsT3VcxyqK-X8rdGaczJ8JTi1VbYSefShvt56pV8o1jfcFV2UX5bJ-CIzFs5oonqDCLhN_dx_EId6EG1xjK7_X3e8FAC_QkVd3WG2ZkXVqbC4bevy5fG7222Nql3n/s320/160212161524_william_ruto_512x288_afp.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFUwrzukTmiRGFemhKsT3VcxyqK-X8rdGaczJ8JTi1VbYSefShvt56pV8o1jfcFV2UX5bJ-CIzFs5oonqDCLhN_dx_EId6EG1xjK7_X3e8FAC_QkVd3WG2ZkXVqbC4bevy5fG7222Nql3n/s72-c/160212161524_william_ruto_512x288_afp.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/william-ruto-hana-kesi-ya-kujibu-icc.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/william-ruto-hana-kesi-ya-kujibu-icc.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy