http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

WANAJESHI 11 WA TZ WATUHUMIWA KATIKA UNYANYASAJI WA KINGONO DRC

Mwanajeshi wa umoja wa mataifa Umoja wa Mataifa unasema kuwa umepokea madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanaj...

Mwanajeshi wa umoja wa mataifa

Umoja wa Mataifa unasema kuwa umepokea madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanajeshi wa kulinda amani wa Tanzania mashariki mwa taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Umesema kuwa kumi na moja kati yao wanakabiliwa na madai ya kuwa baba ya watoto na kuna ushahidi wa awali kwamba wengine walifanya ngono na watoto.

Umoja wa Mataifa umetuma kikosi chake katika eneo hilo kuchunguza madai hayo kulingana na ripoti za chombo cha habari cha AP.

Kundi la kwanza la wanajeshi walinda amani wanaotuhumiwa kwa unyanyasaji wa kingono nchini DRC wameshtakiwa kulingana na chombo cha habari cha AFP.

AFP imesema kuwa wanajeshi watatu wa Congo wanaoshtakiwa walikuwa miongoni mwa wanajeshi walinda amani nchini CAR.

Zaidi ya waathiriwa 100 wametoa madai kwamba walinyanyaswa na wanajeshi walinda amani wa Ufaransa.
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema kuwa alishtushwa sana na maelezo ya hivi karibuni ya unyanyasaji huo.

AFP inasema kwamba zaidi ya wanajeshi 18 wa DRC wanatuhumiwa na ubakaji ama jaribio la ubakaji dhidi ya raia.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : WANAJESHI 11 WA TZ WATUHUMIWA KATIKA UNYANYASAJI WA KINGONO DRC
WANAJESHI 11 WA TZ WATUHUMIWA KATIKA UNYANYASAJI WA KINGONO DRC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT6I3j0ClUqEelcoSAuRoWqqYIeFbDeIi_d3ZMZJtNaTO2XrmTKxVQO17eFqlyWFExBmqEZDViDMPN6tTmCUmHDHkLJbmW7rEg_PA7uhzzmRJmL00xNxC9UP5UWy2zyZBPHLRMoyQQmKRn/s400/141003155744_un_soldier_640x360_afp_nocredit.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT6I3j0ClUqEelcoSAuRoWqqYIeFbDeIi_d3ZMZJtNaTO2XrmTKxVQO17eFqlyWFExBmqEZDViDMPN6tTmCUmHDHkLJbmW7rEg_PA7uhzzmRJmL00xNxC9UP5UWy2zyZBPHLRMoyQQmKRn/s72-c/141003155744_un_soldier_640x360_afp_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/wanajeshi-11-wa-tz-wahusika-katika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/wanajeshi-11-wa-tz-wahusika-katika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy