http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Siachii madaraka: Al Bashir

Rais Omar Al Bashir Rais wa Sudan Omar al Bashir amesema ataachia madaraka ya nchi hiyo mwaka 2020 ambapo atakuwa ame...

Rais Omar Al Bashir
Rais wa Sudan Omar al Bashir amesema ataachia madaraka ya nchi hiyo mwaka 2020 ambapo atakuwa ameongoza taifa hilo kwa jumla ya miaka 30.

Hata hivyo wakosoaji wanasema , Al Bashir amewahi kutoa ahadi ya kuachia madaraka awali lakini baadaye alibadili msimamo wake.

Kiongozi huyo anasakwa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC kuhusiana na mashtaka ya uhalifu wa kivita na mauaji ya halaki na ukatili dhidi ya binadam ambapo umoja wa mataifa unasema watu milioni mbili na nusu wameyakimbia makazi yao katika mji wa Darful tangu mwaka 2003.

Hata hivyo Al Bashir amekanusha madai ya hivi karibuni ya tuhuma dhidi ya vikosi vya serikali kushiriki katika machafuko ya eneo la Jebel Marra huko Darful.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Siachii madaraka: Al Bashir
Siachii madaraka: Al Bashir
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjedO9OE8_eZ9IAUJ4yXVDkvnhhzHb7WQU8853h9KZtgu6JsZp6Zu8XLp7bEinLY-ohRoZLBpIXW30d5ymG3pb8m-DZv9g82Dk61BH6wVgmX56_u9ZcH2DtsnxM7RAsebiYRd-_mXqwvsZQ/s1600/150614153539_omar_al-bashir_640x360_reuters_nocredit.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjedO9OE8_eZ9IAUJ4yXVDkvnhhzHb7WQU8853h9KZtgu6JsZp6Zu8XLp7bEinLY-ohRoZLBpIXW30d5ymG3pb8m-DZv9g82Dk61BH6wVgmX56_u9ZcH2DtsnxM7RAsebiYRd-_mXqwvsZQ/s72-c/150614153539_omar_al-bashir_640x360_reuters_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/siachii-madaraka-al-bashir.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/siachii-madaraka-al-bashir.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy