http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli a...


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe kutokana na matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni tatu.

Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyosomwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuhusu mikataba mibovu iliyosainiwa na mkurugenzi huyo mwaka jana. Moja ya mikataba hiyo ni ule wa Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), ambapo mkataba uliokuwa ukitekelezwa ulikuwa wa mwaka 2004 uliotoza kila basi shilingi 4,000 badala ya ule wa mwaka 2009 uliokuwa ukitoza kila basi shilingi 8,000.

Kwamujibu wa Makonda katika ofisi ya Mkurugenzi wa jiji, mkataba uliokuwepo ulikuwa wa mwaka 2004 wakati kwa mzabuni alikuwa na mkataba wa mwaka 2009. Kutokana na hali hiyo badala ya serikali kupokea shilingi 8,000 kwa kila basi, ilikuwa ikipokea shilingi 4,000 na nyingine ziliishia katika mfuko wa mkurugenzi huyo.

Ukichukua shilingi 4,000 kwa kila basi ukazidisha kwa babasi 400 utajua kuwa kwa siku serikali ilipata hasara ya shilingi milioni 1.6 na ukizidisha kwa siku 30 utajua kuwa kwa mwezi serikali imepata hasara ya shilingi milioni 48.

Kutokana na hali hiyo kwa mwaka mzima serikali imepoteza kiasi cha shilingi milioni 576 ambapo ndani ya miaka mitano iliyopita serikali imepoteza kiasi cha shilingi bilioni 2.9.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam
Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWXC0BqnkH7bE0qOq7C7qZjeCwgsHiErkKrXlypKCeodYiayYci1CldVHN3L2IIwRtDqM6i2vUxpF_kTt-9rBxJ8zR8ZLOfp4tLsdVK-hP33Mzo6q3PaQ-_fcVDNfxGqtftAO9Rix4hH5l/s400/wilson-kabwe_210_120.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWXC0BqnkH7bE0qOq7C7qZjeCwgsHiErkKrXlypKCeodYiayYci1CldVHN3L2IIwRtDqM6i2vUxpF_kTt-9rBxJ8zR8ZLOfp4tLsdVK-hP33Mzo6q3PaQ-_fcVDNfxGqtftAO9Rix4hH5l/s72-c/wilson-kabwe_210_120.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/rais-magufuli-amsimamisha-kazi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/rais-magufuli-amsimamisha-kazi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy