http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Msomi avua nguo kwa kufungiwa ofisi

Stella Nyanzi alikuwa akimuunga mkono mgombea urais Kizza Besigye Hatua ya mwanamke mmoja msomi ya kuvua nguo nchini Ug...

Stella Nyanzi alikuwa akimuunga mkono mgombea urais Kizza Besigye
Hatua ya mwanamke mmoja msomi ya kuvua nguo nchini Uganda imezua mjadala mkali nchini humo
.
Baada ya kukerwa na hatua ya kufungiwa nje ya ofisi yake na usimamizi wa chuo kikuu cha Makerere, Stella Nyanzi alivua nguo zote kama njia ya kupinga.

Hata hivyo mwishowe aliruhusiwa kuingia ofisini mwake. Wengi wa wafuasi wake wanasema kuwa alilazimishwa kufanya hivyo kutoka na yake alikuwa akitendewa.

Hata hivyo wale wanaomkosoa wanasema kwa amekiuka maadili na kwamba mwanamke hastahili kuwa uchi hadharani.

Gazeti la the New Vision nchini humo linasema kuwa waziri anayehusika na maadili anataka Nyanzi akamatwe.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Msomi avua nguo kwa kufungiwa ofisi
Msomi avua nguo kwa kufungiwa ofisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6wzLVrlmXAOOjx5mMs5L-bbMsNlVSOvfYv_ce-29GWZ-qJ7jUXc8TsQcGqlkiKAILegS3uyhje8n93_C7IZyMxlqwl7pNyi3b_RZ23xRkzWc1ytFHFbl8n2CxuKJ1H46pu6XFJLl5dhOH/s1600/160419101634_stella_nyanzi_640x360_bbc_nocredit.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6wzLVrlmXAOOjx5mMs5L-bbMsNlVSOvfYv_ce-29GWZ-qJ7jUXc8TsQcGqlkiKAILegS3uyhje8n93_C7IZyMxlqwl7pNyi3b_RZ23xRkzWc1ytFHFbl8n2CxuKJ1H46pu6XFJLl5dhOH/s72-c/160419101634_stella_nyanzi_640x360_bbc_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/msomi-avua-nguo-kwa-kufungiwa-ofisi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/msomi-avua-nguo-kwa-kufungiwa-ofisi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy