http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ajilipua Somalia

Kundi la al-Shabab limekiri kuhusika Watu wanane wameuawa baada ya mshambuliaji wa kujitoa mhanga kujilipua katika mji wa Galkayo, ka...

Kundi la al-Shabab limekiri kuhusika

Watu wanane wameuawa baada ya mshambuliaji wa kujitoa mhanga kujilipua katika mji wa Galkayo, katikati mwa Somalia, mtandao wa habari wa Dhacdo.com umeripoti.
Mshambuliaji huyo alijilipua akiwa katikati mwa hoteli za Capital na
Uunlaaye.
Meya wa mji huo Abdiasis Jama Guled ameambia BBC kwamba watu zaidi ya wanane wamefariki.
“Kuna watu zaidi ya wanane ambao wamefariki, na wengine wanane wameumia,” amesema.
Miongoni mwa waliofariki ni Said Ali Yusuf, mhasibu katika eneo la Mudug, Puntland.
kutokana na tukio hilo Kundi la al-Shabaab limekiri kuhusika.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ajilipua Somalia
Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ajilipua Somalia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVgFOuJasJfH36PB9kkwz8lf6DiLDG4SUn2sOP2ZUADlpiJYnKfbXtXWp0ThJsO1FicaDwh8bMVqFZMdcddACN4zhJSoT2WOIKqB_NBlMh4mMAU4IYrAul1VeelEzXU5DIb12JeTVkjBEM/s1600/160307183501_alshabab_640x360_afp.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVgFOuJasJfH36PB9kkwz8lf6DiLDG4SUn2sOP2ZUADlpiJYnKfbXtXWp0ThJsO1FicaDwh8bMVqFZMdcddACN4zhJSoT2WOIKqB_NBlMh4mMAU4IYrAul1VeelEzXU5DIb12JeTVkjBEM/s72-c/160307183501_alshabab_640x360_afp.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/03/mshambuliaji-wa-kujitoa-mhanga-ajilipua.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/03/mshambuliaji-wa-kujitoa-mhanga-ajilipua.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy