Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Iram-n, watu zaidi ya 100 wamedhurika baada ya kula uyoga huo ambao u...

Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Iram-n, watu zaidi ya 100 wamedhurika baada ya kula uyoga huo ambao umefahamishwa kuwa ulikuwa na sumu. Runinga ya ya NTV nchini Iran imefahamisha kuwa miongoni mwa watu 700 walifanyiwa vipimo baada ya kula uyoga huo, 190 bado wanafanyiwa uchunguzi zaidi wa kiafya.
Wizara ya afya ya Iran imetoatahadhari kwa raia kutonunua uyoga kwa wauzaji wasiotambulika kisheria.



