http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Breaking News: Mvua yaua muuguzi Hospital ya St Elizabeth...Asombwa na mafuriko umbali wa mita Mia

Mvua iliyokuwa ikinyesha Alfajiri ya Leo May 16,Mwaka huu imesababisha kifo cha muuguzi Mmoja Wa kike Wa hospital ya Wilaya ya St Elizabeth ...



Mvua iliyokuwa ikinyesha Alfajiri ya Leo May 16,Mwaka huu imesababisha kifo cha muuguzi Mmoja Wa kike Wa hospital ya Wilaya ya St Elizabeth ambaye amesombwa na mafuriko wakati akielekea kazini kwake.

Kwa mujibu Wa mganga Mkuu Wa hospital hiyo Dkt Joslin Mlay amemtaja marehemu kuwa ni Alodia Silvesta anayekadiliwa kuwa na umri Wa miaka 60

Amesema muuguzi huyo amekumbwa na masahibu hayo umbali wa Mita mia moja kabla ya kufika hospitalini hapo majira ya SAA 15 Asubuhi katika ukuta wa kanisa la Lutheran uliopakana na hospital hiyo ya st Elizabeth.

'Marehemu alikuwa akivuka kidaraja kidogo ndipo alipoteleza na kusomba na maji ya mvua umbali Wa Mita 100 ambapo kikosi cha zima moto na wokozi waliweza kutoa mwili uliokuwa umekwama kwenye Kara Vatican edema Dkt Mlay

Mwili Wa marehemu umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospital ya rufaa ya Mount Meru Mkoa Wa Arusha
Aliyesimama mbele ya jengo la hospital ya st Elizabeth hahusiani na tukio

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Breaking News: Mvua yaua muuguzi Hospital ya St Elizabeth...Asombwa na mafuriko umbali wa mita Mia
Breaking News: Mvua yaua muuguzi Hospital ya St Elizabeth...Asombwa na mafuriko umbali wa mita Mia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsdtjay0RG4BUL_ITYeOPuAdaXVHDxZeqBh7OdkfSBNqqjXwceQ-aV64-rNL5zN5BGOxbjlq-MWSn5qJv2RSZySlP866Gp8X2u6FL4IFHLy70H68ysynSFCuFRhnKeoSlo3pDmkX7V3sva/s640/IMG-20180516-WA0000.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsdtjay0RG4BUL_ITYeOPuAdaXVHDxZeqBh7OdkfSBNqqjXwceQ-aV64-rNL5zN5BGOxbjlq-MWSn5qJv2RSZySlP866Gp8X2u6FL4IFHLy70H68ysynSFCuFRhnKeoSlo3pDmkX7V3sva/s72-c/IMG-20180516-WA0000.jpg
WEPESI MEDIA
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/breaking-news-mvua-yaua-muuguzi.html
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/breaking-news-mvua-yaua-muuguzi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy