http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Makubwa Haya: MWIZI AKUTWA AMELALA FOFOFO KITANDANI KWENYE NYUMBA ALIYOVUNJA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mtu mmoja ameshtakiwa na maafisa wa polisi nchini Australia baada ya kuvunja na kuingia katika nyumba moja kabla ya kunywa shampeni na ku...

SAHARA MEDIA:Star TV na Radio Free Africa zafungiwa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Yalaani Matamshi ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Rufaa ya Kesi ya Lema Agosti 6

Mtu mmoja ameshtakiwa na maafisa wa polisi nchini Australia baada ya kuvunja na kuingia katika nyumba moja kabla ya kunywa shampeni na kulala kitandani.

Polisi wanasema jamaa huyo wa miaka 36 alivunja na kuingia nyumbani humo mjini Esperence , magharibi mwa Australia siku ya Ijumaa.

Alilewa baada ya kunywa kinywaji hicho ,kulingana na maafisa.

Mwenye nyumba hiyo alirudi nyumbani na kumpata mwizi huyo amelala kitandani mwake.

''Alitoka nje na kuwapigia simu polisi ambao waliwasili na kumkamata mshtakiwa'', alisema sajenti Richard Moore kutoka polisi ya Esperence .

Mtu huyo alipelekwa hospitalini baada ya kupatikana amelewa chakari alisema sajenti Moore.

Ameshtakiwa na wizi.a

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Makubwa Haya: MWIZI AKUTWA AMELALA FOFOFO KITANDANI KWENYE NYUMBA ALIYOVUNJA
Makubwa Haya: MWIZI AKUTWA AMELALA FOFOFO KITANDANI KWENYE NYUMBA ALIYOVUNJA
https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/181E/production/_97147160_champaigne.jpg
WEPESI MEDIA
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/makubwa-haya-mwizi-akutwa-amelala.html
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/makubwa-haya-mwizi-akutwa-amelala.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy