http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

TANZIA... BILIONEA MAARUFU JIJINI ARUSHA NA MILIKI WA IMPALA, NAURA NA NGURDOTO HOTEL AFARIKI DUNIA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Akizungumza na Mwananchi ndu...

Makinda atumbua wakurugenzi 9 NHIF....Wadaiwa Kuhusika na Ufujaji wa Mabilioni ya Pesa
Maandalizi Mkutano Mkuu Maalum Wa CCM Yaiva
Watumishi Watatu Wasimamishwa Kazi Jeshi La Polisi
Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini.

Akizungumza na Mwananchi ndugu wa marehemu,Vincent Laswai alithibitisha msiba huo akiwa nyumbani kwa marehemu eneo la Uzunguni jijini Arusha.

Akihojiwa na gazeti hili Laswai amesema kwamba alipokea taarifa za kifo cha marehemu jana saa 12 jioni na uongozi wa familia utatoa taarifa za kifo cha mfanyabiashara huyo leo.

Laswai, amesema kwamba ni mapema kuzungumzia chanzo cha kifo kwa sababu bado hawajapata taarifa kutoka katika hospitali aliyokuwa akitibiwa nchini humo.

Hivi karibuni marehemu Mrema alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya ambapo Juni mwaka huu alipelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : TANZIA... BILIONEA MAARUFU JIJINI ARUSHA NA MILIKI WA IMPALA, NAURA NA NGURDOTO HOTEL AFARIKI DUNIA
TANZIA... BILIONEA MAARUFU JIJINI ARUSHA NA MILIKI WA IMPALA, NAURA NA NGURDOTO HOTEL AFARIKI DUNIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1gyOmyHugBSuW1sxPPD2Mojg7d3OtCrAGq0f95EKkJ2JiVV1DOP7NolG66VGxvxsuAxAzIFJZd0xARleYorukCJhzVo9aG__xWZ3drASThU7n9vHjPt2rNC1q2_vvLqQwNHRKjRdzAE_n/s1600/tanziaa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1gyOmyHugBSuW1sxPPD2Mojg7d3OtCrAGq0f95EKkJ2JiVV1DOP7NolG66VGxvxsuAxAzIFJZd0xARleYorukCJhzVo9aG__xWZ3drASThU7n9vHjPt2rNC1q2_vvLqQwNHRKjRdzAE_n/s72-c/tanziaa.jpg
WEPESI MEDIA
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/tanzia-bilionea-maarufu-jijini-arusha.html
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/tanzia-bilionea-maarufu-jijini-arusha.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy