Bw Geofrey Sagaya akiongoza Sherehe za CMF zilizosherehekewa katika kanisa la Sayuni Oldadai Sherehe za Umoja wa wanaume wa k...
Bw Geofrey Sagaya akiongoza Sherehe za CMF zilizosherehekewa katika kanisa la Sayuni Oldadai |
Sherehe za Umoja wa wanaume wa kristo,Christian
Men Fellowship C.M.F Ambazo
zinasherekewa kila mwaka ifikapo tar 1/5/. imesherekewa katika makanisa mbali mbali ya Tanzania Assembles of God
T.A.G Hii leo kitaifa.
Lengo la sherehe hizi ya umoja wa wanaume wa makanisa ya kikristo
zehebu la T.A.G ni kuwapongeza wachungaji
wa makanisa ya maali pamoja
ambapo katika kanisa la SAYUNI
OLDADAI Jijini Arusha wamesherehekea kwa
kumpongeza mchungaji wao Rev. MESHACK MIOKI Kwa kumpatia zawadi ya fedha za kitanzania taslim milioni nne na laki tano 4,500,000.
Mkurugenzi wa C.M.F Bw joseph Mayagila,kushotoakimkabidhi mchungaji Meshack Mioki kulia zawadi ya fedha taslim Milioni nne na laki tano.4,500,000 katika sherehe za CMF. Mama mchungaji Meshack akiwa katikati. |
Kauli mbiu ya umoja wa wanaume
wa kikristo ni WANAUME NI TAIFA KUBWA, E BWANA FUFUA KAZI YAKO Pamoja na neon la mwaka huu kutoka katika kitabu cha 1 Wafalme 2; 2b ‘’
jionjeshe kuwa wewe ni mwanaume’’.
Aidha katibu wa kanisa la
SAYUNI Bw Elibariki Makundi ,Ameuomba umoja huo kuwa
imara katika imani huku wakimtegemea Mungu wa mbinguni bila kukata tama kwani wana wa izrael
walitembea jangwani siku zote bila ya
kukata tama na Mungu akawafikisha katika nchi ya ahadi aliyo waapia Baba zake,
kuwa atawapa nchi ya Misri.
Mchungaji Meshack Mioki na Mkewe |
Katika maubiri yake, Makundi
amesema kuwa Umoja wa wanawake wa
kristoW.W.K. Imepewa kazi na taifa ambao ni wanaume Ivyo basi wanatakiwa kusimama
na silaha za vita Ikiwa ni pamoja na Kuwa na imani, Maombi pamoja Utakatifu.
Mkurugenzi wa CMF Sekshen ya Tengeru Joseph Mayagila...kulia na mmoja wa waimbaji wa VICTORIOUS BAND ...Kushoto |
Swali lakujiuliza kama mkristo, je changamoto unazokutananazo katika
maisha yako.inakupa somo gani juu ya Mungu.