Mashindano Makubwa ya 9 Ndani ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC imeingia leo kwenye fainali ya kupata madarasa matat...
Wanafunzi wa AJTC wakiwa kwenye Ukumbi wa Chuo hicho wakisikiliza vipindi kutoka studio za 96.6 AJT FM PICHA NA SAMWELY WILSON |
Majaji wa mashindano ya Utangazaji AJTC Steven Mulaki (kulia),Amos Ishengoma ( Katikati) na Jackline Joel (Kushoto) PICHA NA SAMWELY WILSON (NA Raymond William) |